
Kocha jose Mourinho amethibitisha kuwa msimu huu
haitaji tena kusajili mchezaji yoyote ndani ya klabu yake ya Manchester
United’s kwa siku zilizobaki za usajili.
Mashetani hao wekundo wa jiji la Manchester
wam,esajili wachezaji wa 4 msimu huu ndani ya kikosi chao akiwemo Eric Bailly,
Henrikh Mkhitaryan, Zlatan Ibrahimovic na Paul Pogba.
Akihojiwa Mourinho amesema kikosi chake kimekamilika
baada ya kupata wachezaji 23 ambao alikuwa anawahitaji na hapendi mchezaji
yeyote kuondoka klabu hapo.
Post a Comment