Halloween Costume ideas 2015

TANGAZA NASI.

TANGAZA NASI.

KOZI YA UTIMAMU WA MWILI KWA MAKOCHA NI DAWA YA WACHEZAJI.



Image result for KOZI NA MADADI 
Kamati ya ufundi ya Shirikisho la soka nchini Tanzania TFF imeendelea kuhakikisha soka la kitanzania linazidi kupata waalimu wa kutosha walio na elimu ya kutosha na kuliwezesha soka la kitanzania kuwa la kimataifa.

Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa ufundi wa TFF Salumu Madadi wakati akiendelea kusimamia kozi ya Utimamu wa mwili inayowahusisha makocha mbalimbali hapa nchini.

Akizungumza na Kilowoko.blogspot.com Madadi amesema kozi hiyo imelenga zaidi kuwapa walimu hao elimu ya kutosha kuhusu wachezaji ambao mara zote ndio wao wanaowafundasha baada kuwepo kwa uwingi wa wachezaji waliomaliza soka lao wakipata magonjwa mbaimbali.

Amesema kigezo walichotumia katika kuendeleza kozi hiyo ni walimu wote wenye leseni ya daraja B ya ukocha na hii itawafanya kuwa katika hali nzuri wakati wa kufundisha.

Post a Comment

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget