
Mshambuliaji Lucas Perez ameshakamilisha vipomo vya afya tayari kujiunga na klabu yake mpya ya Arsenal wikiendi hii.
Kocha wa klabu hiyo Arsene Wenger alikuwa tayari
katika mipango ya kumsajili mchezaji huyo kwa kitita cha £17million kwa ajili
ya msimu huu mpya.
Post a Comment