Halloween Costume ideas 2015

TANGAZA NASI.

TANGAZA NASI.

WILSHERE SASA KUELEKEA CRYSTAL PALACE.



Image result for JACK WILSHERE 
KIUNGO wa Arsenal, Jack Wilshere anatarajiwa kujiunga na Crystal Palace au Bournemouth kwa mkopo wa msimu mzima ili aweze kupata nafasi ya kucheza katika kikosi cha kwanza.

Nyota huyo mwenye umri wa miaka 24 amekutana na meneja wa Palace, Alan Pardew na yule wa Bournemouth Eddie Howe jana kwa ajili ya mazungumzo.

Wilshere ameichezea Uingereza mechi sita katika kipindi cha kiangazi zikiwemo mechi tatu za michuano ya Ulaya lakini ameachwa katika kikosi cha nchi hiyo kinachoongozwa na kocha mpya Sam Allardyce.

Post a Comment

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget