Kocha mkuu wa klabu ya soks ya Manchester United Jose Mourinho yupo tayari kumsajili mchezaji hatari wa klabu ya Atletico Madrid Antoine Griezmann katika kipindi kijacho cha usajili.
Mchezaji huyo raia wa nchini Ufaransa msimu uliopita alikataa ofa ya kujiunga na klabu ya Paris Saint-Germain na kuendelea kubaki katika klabu yake ya Atletico.
Griezmann alikuwa akiwaniwa na klabu ya PSG kabla ya mkataba wake kumaliziki mwezi June msimu huukatika klabu yake ya Atletico Madrid.
Post a Comment