
Kiungo mpya wa klabu ya soka ya Liverpool's Sadio
Mane amezidi kuingeza thamani yake ndani ya klabu ya Anfield baada ya kutua
klabuni hapo.
Mchezaji huyo raia wa nchini Senegal amejiunga na
klabu hiyo akitokea Southampton kwa kitita cha £30million msimu huu na amekuwa
mchezaji ghali zaidi kutoka Afrika na kuweka historia kwa nchi ya Afrika.
Mane's mwenye umri wa miaka 24 alizidi kuongeza
uimara wake toka alipokutana na klabu ya Arsenal katika ufunguzi wa Ligi hiyo
msimu huu.
Post a Comment