
Kiungo mpya wa klabu ya soka ya Arsenal's Granit
Xhaka amesema kuwa kwa siku chache alizotua ndani ya klabu hiyo amezidi
kujifunza zaidi mambo makubwa.
The Gunners walimtwaa mchezaji huyo mwenye miaka 23 kwa
kitita cha £30m baaada ya michuano ya Euro 2016 kumalizika nchini Ufaransa.
Xhaka amesema baada ya kutua kunako katika klabu
hiyo na kuungana na wachezaji kama Ozil, Sanchez na Cazorla ni mfano mkubwa
kwake na ni njia moja wapo kwa upande wake kujifunza zaidi katika soka lake.
Post a Comment