MCHEZAJI Kyle Walker leo amesaini mkataba mrefu wa
kuendeleea kubaki katika klabu yake ya Tottenham.
Mchezaji huyo raia wa nchini England anachezea beki
ya kulia amesaini mkataba huo mpya akitokea kunako katika klabu ya Sheffield
United mwaka 2009, na amejifunga kitanzi hicho na kuwa mchezaji wa wa mwisho
katika klabu hiyo kufanya hivyo.
Walker sasa anaongozana na wachezaji wengine Christian
Eriksen, Dele Alli, Eric Dier na Danny Rose kusaini mkataba mpya klabu hapo.
Post a Comment