Kiungo mshambuliaji wa mabingwa wa soka Afrika
mashariki na kati Azam FC Farid Mussa Malik ambaye amepelekwa kwa mkopo nchini
Hispania kwenye klabu ya Deportivo Tenarife
amesema hana budi kuendelea kufanya subra ya safari yake ya mafanikio.
Farid ambaye bado yupo nchini akifanya mazoezi
na wachezaji wa Azam FC amesema anaamini ndoto zake za kucheza nje ya nchi
zimeshatimia, lakini changamoto za kukamilisha safari ya kwenda nchini Hispania
zimekua kikwazo lakini bado anaamini ataondoka wakati wowote
Post a Comment