Timu ya soka ya Mbeya City ya jijini Mbeya imetamba
kuiadabisha Simba katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara utakaochezwa Jumatano
hii kwenye uwanja wa Sokoine mjini humo.
Akizungumzia mchezo huo, Afisa habari wa Mbeya City
Dismas Ten amesema kikosi chao kipo vizuri na hawahofii ubora wa timu ya Simba
iliyouonesha tangu kuanza kwa msimu huu.
Post a Comment