Jumla ya nchi nne zinatarajiwa kushiriki mbio za Dar
Rotary Marathon 2016 zitakazofanyika jijini Dar es salaam Oktoba 14 mwaka huu.
Kwa mujibu wa Katibu Mkuu Msaidizi wa Shirikisho la
riadha Tanznaia RT, Ombeni Zavalla, mbio hizo za kila mwaka huandaliwa na Dar
Rotary Club kwa kushirikiana na Bank M lengo likiwa ni kukusanya fedha za
kusaidia shughuli za kijamii.
Post a Comment