SHIRIKISHO la soka nchini Tanzania TFF limekiandikia
cha cha cha kutetea Shria na haki za wachezaji nchini Sputaza juu ya kufanya
uchaguzi mkuu wa viongozi wake.
Obedi Kasablala ambaye ni katibu Mkuu wa Sputaza amesema
kwa sasa wanachokifanya ni kuendelea kufanya chaguzi za mikoa kabla ya kufanya
uchauzi mkuu wa chama hicho.
Kwa upande mwingine Kasaballa ameelezea jinsi
walivyofanikiwa kwa mwaka huu kutetea haki za wachezaji ambazo tayari hukumu
zake zimeshatolewa huku klabu zilizoshitakiwa zikitakiwa kulipa madeni yao kwa
wachezaji husika ikiwemo klabu ya soka ya Yanga.
Post a Comment