Klabu ya wekundu wa msimbazi Simba ipo kwenye
mazungumzo na golikipa ABAS PIRA aliyekwenda nchini Uingereza kujaribu bahati
ya kucheza soka la kulipwa.
Akithibitisha kuhusiana na suala hilo PIRA ambaye
aliwahi kufanya majaribio katika kikosi cha Chelsea ya Uingereza amesema kama
akishindwa kutua Msimbazi, ataendelea kupambana kusaka timu zingine Barani
Ulaya ama Afrika.
Post a Comment