Imeripotiwa kuwa klabu ya soka ya Liverpool ina
mpango wa kutoa kitita cha £20million katika dirisha dogo la January kumsajili
nyota wa klabu ya Celtic Moussa Dembele.
Baada ya Danny Ings kuwa majeruhi na Sadio Mane kutokuwepo
katika kipindi kijacho atapakorudi barani Afrika kuitumikia timu yake ya Taifa
ya Senegal katika michuano ya kombe la mataifa ya Afrika kocha mkuu wa klabu
hiyo Jurgen Klopp yupo sokoni kwa sasa kutafuta watakoshika mbadala wao.
Post a Comment