Klabu za soka za Yanga na Azam zimekamilisha zoezi
la kupeleka majina ya wachezaji itakaowatumia katika michuano ya kimataifa
kunako Shirikisho la soka la Afrika CAF.
Mapema mwakani Yanga itaiwakilisha nchi katika
mashindano ya Klabu Bingwa Afrika huku Azam ikitarajiwa kuiwakilisha nchi
katika mashindano ya Kombe la Shirikisho.
Klabu zote
mbili baada ya kukamilisha zoezi hilo zimepatiwa leseni za ushiriki wa mashindano hayo.
Post a Comment