Mwamasheria wa aliyekuwa Rais wa shirikisho la barani
Ulaya Uefa na Makamu Mwenyekiti wa Shirikisho la soka Duniani FIFA Michel
Platini's amesema anamatumaini ya kuwa mteja wake huyo aliyesimamisha kushiriki
katika soka hajakiuka maadili yoyote ya kula rushwa ndani ya FIFA.
Thibaud d'Ales ambaye ni mwanasheria Platini amesema
rais huyo wa Uefa hajajihusisha na Jambo lolote baya ndani Fifa huku akimkingia
kifua mteja wake huyo kuwa hanahatia katika mashitaka yanayomkabili.
Platini pamoja na Rais wa Fifa Sepp Blatter
wamesimamishwa na kamati ya maadili ya Fifa kwa siku 90 kuanzi mwezi Oktoba
kutojihusisha mna masuala ya soka.
Post a Comment