
Ligi daraj la kwanza inatarajiwa kuendealea tena kwa siku ya kesho kwa michezo miwili kuchezwa
ambapo……….
Klabu ya soka ya Ashanti United watawakaribsiha
Friends Rangers uwanja wa Karume jijini Dar es salaam.
huku klabu ya Ruvu Shooting wakiwa wenyeji wa Lipuli
FC katika uwanja wa Mabatini Mlandizi mkoani Pwani.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.