Kocha wa muda wa
klabu ya Chelsea Guus Hiddink ameanza mbwembwe na kuwataka mashabiki wa klabu
hiyo kutotegemea mabadiriko makubwa na ya haraka ndani ya klabu hiyo baada ya
kuchukua nafasi hiyo.
Hiddink amesema
atajitahidi kufanya vizuri na kuirudisha klabu hiyo katika nafasi iliyozoeleka
na amewataka mashabiki kutokuwa na haraka katika hilo bali wampe muda zaidi wa
kuibadirisha klabu hiyo na kuleta makari yake ya zamani.
Chelsea imeanza vibaya msimu huu baada ya kupoteza
michezo 9 mfululizo kati ya michezo 16 iliyocheza kabla ya kuondoka kwa kocha
wao Mournho.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.