Siku moja baada ya klabua ya soka ya Yanga kuachana
na mchezaji wo machachari anaecheza katika nafasi ya Kiungo Haruna Nionzima unongizo
wa klabu ya soka ya Simba umekanusha taarifa za kumuhitaji mchezaji huyo ndani
ya klabu hiyo.
Klabu ya soka imekanusha taarifa hizo hii leo kwa
kuhusishwa na kumtaka mchezaji huyo ambae alikuwa kipenzi cha wanajangwani
klabu ya soka ya Yanga kutokana na umahiri wake wa kuuchezea mpira anapokuwa
dimbani.
Uongozi wa Simba kwa kupitia msemaji wao Haji Manara
umesema hwana mpango wa kumchukua mchezaji huyo ndani ya klabu hiyo kutokana na
kuwa na wachezaji wakigeni waliokamilisha idadi ya ya wachezaji saba kutoka
nje.
“Mimi kama Haji nampenda Nionzima tena nina mahaba
nae sana kutokana na uchezaji wake lakini kama klabu ya samba haina mpango wa
kumchukua mchezaji huyo kutokana na tumeshakamilisha wachezaji saba wakigeni”
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.