Kuna tetesi kuwa klabu ya soka ya Arsenal tayari
imeshakubali kumsainisha kiungo wa kati wa klabu ya Fc Basel Mohamed Elneny,kwa
mujibu wa gazeti la the Daily Mirror.
The Gunners wamekubali kumsainisha kiungo huyo raia wa misri mwenye miaka 23 ada ya uhamisho wa £5 million na wapo katika maongezi ya binafsi dhidi ya mchezaji huyo.
Ukiachana na mchezaji huyo Arsenal pia inahusishwa kutumia dirisha la usajili January mwakani kunasa msahmbuliaji wa klabu ya soka ya Dynamo Moscow Aleksandr Kokorin.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.