Mshambuliaji wa klabu ya Paris Saiint-German Zlatan Ibrahimovic amejisifu na kujigamba kuwa alikuwa anajua kuwa ataandika historia yake yeye mwenyewe toka alipojiunga na klabu hiyo 2012.
Ibrahimovic alisajiliwa AC Milan kwa dau la €20 million na amefunga mabao 120 katika mashindano yote 150 na kushinda mataji 3 katika Ligue 1.
Amesema kabla hajatua klabuni hapo alijua atakutana na changamoto kubwa sana kwake kutokana na klabu yake ilimtaka afanya mambo makubwa klabuni hapo ilimladi kuinyanyua klabu hiyo katika nafasi ya juu ya msimamo wa Ligi hiyo nchini Ufaransa.
Ibrahimovic amesema anafurahia kuwa klabuni hapo kutokana ilikuwa ni rahisi kwake baada ya kutoka AC Milan na kutua PSG japo ilikuwa ni vigumu kutokana na ushindani wenyew uliopo lakini anashukuru leo ameandika historia ndani ya klabu hiyo.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.