Klabu ya soka ya Manchester United wameendelea kuwa
wateja wa kufungwa na kumaliza siku yao ya Boxing Day vibaya baada ya kula
kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa klabu ya Stoke City mbele ya kocha wao Louis
van Gaal.
Mabao ya Stoke yalipatikana katika kipindi cha kwanza cha mchezo kupitia kwa wachezaji wake Bojan Krkic aliyepata bao l kwanza katika dakika ya 19 ya mchezo huku Marko Arnautovic akiizamisha Man United katika mto baada ya kupachika bao safi katika dakika ya 26 ya mchezo.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.