VAN GAAL AANZA KUTOA VISINGIZIO.
Meneja huyo aliondoka ghafla kwenye kikao cha wanahabari Jumatano baada ya kuwahutubia kwa dakika tano pekee.
United wamecheza mechi sita bila kushinda mechi hata moja, wakichapwa mechi tatu mfululizo, na Van Gaal amesema anapitia kipindi kigumu zaidi Old Trafford.
“Hatuwezi kuficha ukweli huu, kwamba tunapitia kipindi kibaya sana. Mambo lazima yaanze kuimarika mara moja”,Alisema Van Gaal.
Man United kwa sasa wanashika nafasi ya katika msimao wa ligi kuu wakiwa na alama tisa nyuma ya vinara wa ligi hiyo Leicester City.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.