Chama cha ngumi za ridhaa nchini Tanzania BFT
kimesimamisha kambi ya wachezaji wa timu ya Taifa ya mchezo wa ngumi wakiwa
wakiwa na lengo la kuweka mzingira sawa ya maandalizi ya timu hiyo kwa ajili ya kufuzu mashindano ya Taifa ambayo
yanatarajiwa kufanyika February 6 hadi 14 katika viwanja vya kawe jijini Dar es
Salaam.
Katibu Mkuu wa BFT Makore Mashaga amesema lengo kubwa
la kuvunja kambi hiyo ni la kiufundi zaidi la kutaka kuitengezeneza timu hiyo mazingira
bora zaidi kuanzaia wachezaji hata kuwa upande wa vifaa vya kuchezea ili kupata
timu bora kwa ajili ya kushiriki
michuano ya Olimpiki inayotarajiwa kufanyika mwezi wa Machi mwaka huu nchini
Cameroon.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.