Adam alikuwa mjumbe wa kamati kuu kwa muda wa miaka minne hadi mwaka 2010 alipozuiwa kushiriki katika maswala yote yanayohusiana na soka kwa muda wa miaka mitatu.
Na alifungiwa kutoka na tuhuma za kuomba fedha ili kupiga kura za uandaaji wa michuano ya kombe la dunia mwaka 2010.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.