Boss wa klabu ya soka ya Chelsea Roman Abramovich anamatumaini makubwa ya
kumleta Pep Guardiola Stamford Bridge baada ya kuondoka kwa aliyekuwa kocha
mkuu wa klabu hiyo Jose Mourinho kwa
mujibu wa gazeti la Daily Mail.
kocha huyo anayeinoa miamba ya soka nchini Ujerumani
klabu ya Buyern Munich mkataba wake unaisha mwakani na anaweza akatatangazwa kuwa kocha wa Chelsea
klabla ya mkataba wake haujaisha.
Kunataarifa kuwa klabu ya Mancherster City inamyemelea kocha huyo kuchukua mikoba ya Manuel
Pellegrine lakini Abramovich aliyemtimua Jose Mourinho alhamisi iliyopota anahitaji kumchukua kocha
ndani ya klabu yake.
Bilionea huyo wa Urusi anajipanga kutumia fedha
nyingi kwa ajili ya kuhakikisha kocha huyo mwenye miaka 44 kuahakikisha klabu
hiyo inakaa katika ramani zuri tofauti na ilivyo sasa.
Post a Comment