Klabu ya soka ya Arsenal ipo mbioni kujipanga na
kujiweka sawa katika ushindani wa ligi kuu soka nchini Uingereza na kutafuta
msaidizi wa msmbauliaji wao Olivier Giroud.
Kutokana na hisa sasa kunatetesi kuwa Arsenal
inajipanga katika dirisha la usajili wa January mwakani ikitaka kumtwaa mchezaji
wa zamani wa klabu ya Manchester United na raia wa Mexican Javier Hernandez.
The Gunners watahitaji kutoa kitita cha £13.2m kwaajili ya kumtwaa msambuliaji huyo raia wa Mexican ambaye anaweza akatua klabuni hapo katika mzunguko wa pili wa Ligi hiyo mwakani.
Mshambuliaji huyo ambaye alikuwa haitajiki na kocha wa United Louis van Gaal katika klabu hiyo amefunga mabao 19 katika michezo 22 katika klabu yake ya Bayer Leverkusen toka alipotua klabu hapo.
Tukiaachana na Chicharito's Arsenal pia inahitaji kufanya usajili mkubwa January mwakani kwa kupata kiungo wa katikati baada ya kiungo wao Francis Coquelin kupata majeraha huku Mohamed Elneny kutoka FC Basel na Danilo Pereira kutoka Fc Portor’s wakiwa katika rada za klabu ya Arsenal.

Post a Comment