Kwa mara ya kwanza toka atimulie siku ya Alhamisi
aliyekuwa kocha Mkuu wa Chelsea Jose Mourinho ametoa taarifa yake kuwa ataendela
kubaki jijini London na hajaocha au kuagalia mpira.
Katika taarifa yake aliyoitoa alipokuwa Mjini Los Angeles, Mourinho amesema kwa
sasa yeye anaangalia mbele kurudi katika kazi yake ya ukocha anafurahia maisha yake.
Mourinho amesema ataendelea kubaki jijini London na anatumaini yeye na Familia yake wataendelea kupata fursa hiyo.
Mourinho amesema ataendelea kubaki jijini London na anatumaini yeye na Familia yake wataendelea kupata fursa hiyo.
Mourinho amesema hawezi kuelezea hali ilivyo hivi sasa
lakini anachotaka ni vyombo vya habari kuheshimu maamuzi yake aliyoyatoa.
Post a Comment