Nohodha huyo wa United anaweza kupangwa katika kikosi cha kwanza kama mshambuliaji wa kati kwa mujibu wa kocha wake Louis van Gaal, pamoja na Martial kurudi katika nafasi ya winga hukuJuan Mata akicheza namba 10.
kikosi cha Manchester United kikiongozwa na :
De Gea; Young, Jones, Smalling, Blind; Carrick,
Fellaini; Memphis, Mata, Martial; Rooney.
Post a Comment