Bondia wa Tanzania Sadick Momba usiku wa kuamkia hii
leo alichezea kichapo kizito kutoka kwa bondia Chonlatarn Piryapinyo raia wa nchini Thailand ndani ya raond ya 3 tu ya pambano liliopigwa nchini Thailand.
Katibu mkuu wa chama cha Ngumi za kulipwa nchini
Tanzania PST Antony Rutta amesema bondia huyo alikula kichapo hicho wakati wa
kugombea ubingwa wa WBO Asia pacific super feather weight.
Rutta amesema pamabono hilo lilikuwa ni la kilo 59
na lilikuwa ni la round 12 na lilipigwa katika mji wa Bankconk nchini Thailand.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.