Imeripotiwa kuwa klabu ya Paris Saint-Germain inataka
kutoa kiasi cha €400m kwaajili ya kumpata
mshambuliaji wa klabu ya Barcelona Neymar kwa mujibu wa Sport.
Neymar ambaye ni raia wa nchini Brazili bado
anamktaba na klabu yake ya Barcelona hadi mwishoni mwa mwaka 2018 na klabu yake
ina nia ya kumuongezea mkataba mwingine kuendelea kubaki klabuni hapo hadi
mwaka 2021.
Na kama klabu ya PSG inahitaji huduma ya mchezaji
huyo itatakiwa kulipa kiasi cha €400m pamoja na kuvunja mkataba wake angalau
kwa kulipa kiasi cha €190m.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.