Ligi kuu soka Tanzania bara imeendelea hii leo ambapo………..
Mgambo JKT 5 vs 1 JKT Ruvu
uwanja karume.
Toto Africans 0 vs 1 Tanzania Prisosns uwanja wa CCM Kirumba,
Stand United 1 vs 0 Kagera
Sugar uwanja wa Kamabarage mjini
Shinyanga.
Samba 1 vs 0 Mtibwa Sugar Uwanja wa Tafa jijini Dar es
salaam,
Mbeya City 1 vs 0 Mwadui FC uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.
Coastal Union 1 vs 1 Majimaji uwanja wa Mkwakwani.
USIKU HUU
Azam FC vs African
Sports ukianza saa 1 usiku.
KESHO
ligi hiyo itaendelea kwa mchezo mmoja
uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, ambapo Young African watawakaribisha
Ndanda FC kutoka Mtwara.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.