Chama cha mchezo wa riadha nchini Tanzania RT
kimeanza maandalizi ya kuandaa mashindano ya Jumuiya ya Afrika Mashariki na
kati kwa upande wa timu za vijana umri miaka 19 yanayotarajiwa kufanyika jijini
Dar es Salaam huku nchini ya Tanzania ikiwa mwenyeji wa mashindano hayo.
Katibu Mkuu wa RT Ombeni Zavalla amesema maandalizi
ya kuelekea katika mashindano hayo yanaendelea vizuri na mashindano hayo
yanatarajiwa kuanza kutimua vumbi lake April 22 hadi 23 na wanaitaji kuiboresha
zaidi timu hiyo ya vijana kwa kuandaa maandalizi ya hali ya juu ili kubakisha
kombe hilo nchini.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.