Bondia wa kike wa Tanzania Flora Machela anatarajiwa
kushuka ulingoni kwa ijumaa hii kuzichapa na bondia wa kike wa Australia katika
mji wa Banks town Sydney.
Katibu mkuu wa PST ANTONY RUTTA amesema kuwa
maandalizi yote ya kuelekea katika pambanao hilo yamekaa sawa na amewaomba
watanzania kuendelea kuwamuombea bondia huyo.
Mbali na Flora lakini pia bondia wa kiume Fransic
Cheka kesho anapima uzito kwaa jili ya pambano lake litalopigwa jumamosii kule
nchini India.
Post a Comment