
Mchezaji wa Liverpool Adam Lallana ameanza kurejea taratibu baada ya kuanza kufanya mazoezi siku ya jana.
Mbali na kurejea kwa Lallana naye
mchezaji mwenzake Daniel Sturridge bado hajakaa sawa wakati timu yake itakapo
vaana na Bournemouth.
Lallana alikaa nje ya dimba na
kukosa michezo mitatu baada ya kupata majeraha katika mchezo wa kirafiki wa
kufuzu kombe la dunia timu yake ya England's ilipokuwaikikipiga dhidi ya timu
ya Hispani na kutoka suluhu walipokutana katika uwanja wa Wembley mwezi uliopita.
Vijana hao wa Jurgen Klopp's wameshinda
michezo miwili na kutoka suluhu mchezo mmoja na klabu ya Southampton.
Post a Comment