Kunatetesi
kuwa klabu ya soka ya Liverpool inajipanga kuhamishia nguvu za kumuwania mlinda
mlango wa klabu ya soka Barcelona Marc-Andre ter Stegen katika kipindi cha
usajili January mwakani.
Liverpool
inamatatizo katika nafasi ya mlinda mlango hivyo majira ya usajili inajipanga kumuwania.
Marc Ter Stegen yeye mwenyewe imeuwa ni vigumu kwa sasa kupata nambna katika
kkosi cha kwanza cha Barca kutokana na kuwepo kwa Claudio Bravo akisimama kama
chaguo la kwanza.
Kocha Mkuu
wa klabu hiyo Jurgen Klopp ameshamuona mlinda mlango namba 2 wa Adam Bogdan
kushuka kwa kiwango chake baada ya kukubali kufungwa mabao 3-0 dhidi ya Watford
jumapili iliopita.
Post a Comment