Mchezaji
wa wa zamani wa klabu ya Barcelona Ronaldinho amesema kocha wa Bayern Munich Pep
Guardiola anauwezo wa kufundisha sehemu yoyote ya Duniani.
Klabu ya Bayern
ilitangaza mapema wiki hii kuachana na Guardiola ndani ya klabu yake mwishoni
wa msimu huu wa Bundesliga nchini Ujerumanai huku klabu kama zaManchester City,United
na Chelsea zote zikihitaji saini yake katiia msimu ujao.
Baada ya kupata
makombe mawili ya Copa del Rey na makombe mawili ya ligi nchini Hispani
alipokuwa na klabu yake ya Barcelona, Guardiola alihamia katikaligi ya
Ujerumani ya Bundesliga katika mitaa ya Allianz Arena.
Ronaldinho
ambaye alikuwa mwimba alipokuwa na klabu yake ya Barca anaimani kocha
Guardiola's bado anauwezo wa kufanya vizuri katika ligi yoyote Duniani.
“Pep ni
kocha mzuri ambaye anaweza akaiongoza timu yoyote duniani”,Alisema Ronaldinho.
Post a Comment