Nyota ya shambuliaji wa Timu Ya Taifa ya Tanzania
Taifa Stars na klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mbwana
Samatta imeanza kung’aa wakati huu wa mwaka unapoishia marikiti.
Kunatetesi kuwa Mshambuliaji huyo wa Mazembe huweznda
mwakani asiwepo nchini Kongo na baadala yake akapaa majuu baada ya klabu ya klabu
ya KRC GENK inayoshiriki ligi Kuu soka ya chini Ubelgiji kutaka huduma ya
mchezaji huyo katika kipindi cha usajili wa January mwakani.
Samatta ambaye amekuwa na rekodi nzuri ndani ya klabu
yake ya TPMazembe huwenda January mwakani akatimiza ndoto zake za kutaka
kucheza soka lake nje ya bara la Afrika.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.