Klabu ya
soka ya Azam Fc imelitaka Shirikisho la soka chini kuhakikisha wanaipa klabu
hiyo leseni ya ushiriki wao katika michuano ya kombe la Shirikisho inayotarajia
kufanyika mwakani.
Mtendaji
Mkuu wa klabu hiyo Saad Kawemba amesema wao kama Azam wameshakamilisha
maandalizi yote ya michuano hiyo lakini kinacho wakwamisha hadi hivi sasa ni kupata
leseni ya ushiriki wao katika michuano hiyo ambayo hawajapata hadi hivi sasa.
Kawemba
amesema wanatarajiwa kupeleka wachezaji 28 ambao tayari kocha wao
ameshaorodhesha na wanimani ya kufanya vyema katika michuano hiyo kutokana na
kiwango chao cha hivi sasa.
Post a Comment