Diego Costa, Willian na Eden Hazard wameiwezesha
klabu ya soka ya Chelsea kutoka na ushindi wa mabao 3-1 katika ligi kuu soka
nchini Uingereza mbele ya klabu ya Manchester City katika mchezo uliomalizika
hivi punde.
Gary Cahill's mwenye miaka 30alianza
kuipatia goli la kwanza klabu yake iliyochini ya Pep Guardiola's baada ya
kupokea pasi safi kutoka kwa mchezaji mwenzake Jesus Navas's.
Kipindi cha pili klabu ya Chelsea ilianza
kutaka kubadirisha matokea baada ya mchezaji Costa kuipatia klabu yake bao safi
baada ya kupokea pasi kutoka kwa Cesc Fabregas.
The Blues hawakuishia hapo
waliendelea kulisakama lango la wapinzani wao kanla ya Willian kuutumbukiza
mpira kimiani na kuiandikia klabu yake bao kla pili huku Hazard akimalizia bao
la Tatu na kuifanya klabu hiyo kuendelea kudanda kileleni.
Post a Comment