Soka ya Azam Fc kesho inashuka dimbani
kukipiga dhidi ya Timu ya kutoka Morogoro Mtibwa Suger katika uwanja wa Azam
Coplex.
Afisa habari wa Azam Fc Jafar Iddi amesema mchezo huo
ni sehemu ya maandalizi ya kujiweka sawa kuelekea katika mzunguko wa pili wa
ligi kuu soka Tanzania bara.
Post a Comment