Klabu ya soka ya TOTO AFRIKA ya jijini Mwanza kufanya mazungumzo na aliyekuwa Mkurugenzi wa ufundi wa klabu ya Stand United Muhubu Kanu kuwa kocha wao mpya klabuni hapo na kueleza bayana kuendelea na makocha walionao kwa sasa.
Afisa habari wa klabu hiyo Kasbeti Japhet amesema kuwa hawajafanya mazungumzo yoyote na na Kanu na kueleza kuwa kwa sasa wanamipango na kuendelea na walimu walionao klabuni hapo.
Post a Comment