Klabu za soka za nchini Uingereza zimenza kumtolea macho mchezaji wa zamani wa klabu ya soka ya Manchester United Javier Hernandez katika usajili wa janauary mwakani.
Klabu za Liverpool na Tottenham zote kwa pamoja zimeripotiwa kuanza harakati za kuwinda saini ya mchezaji huyo ambaye anakipiga katika klabu ya soka ya Bayer Leverkusen.
Javier Hernandezpia anawindwa na klabu ya soka ya Valencia huku ikionyesha wazi kuwa klabu hiyo inaweza ikazipiku kala za nchini Uingereza kwa kutaka kutoa kitita kikubwa zaidi cha £33.5 million
Post a Comment