Chama cha mchezo wa riadha nchini Tanzania RT
kimesitisha maandalizi ya mashindano ya Serengeti Marathon kwa mwaka huu
yaliyopagwa kufanyika mapema mwezi huu kutokana na kutokidhi kwa baadahi ya
vigezo vya kuandaa mashindanoi ya mchezo huo.
Katibu mkuu wa RT
Omben Zavala amesema kunakasoro nyingi ambazo zilisababisha kusitisha
mashindano hayo ambazo zinge hatarisha usalama wa wanariadha na wanamichezo kwa
ujumla.
Zavala amezitaja hatari hizo ni pamoja na kutokuwepo
kwa wenyeufahamu kuhusu maandalizi ya mchezo huo wa riadha.
Aidha Zavala amesema kutokuwepo kwa huduma muhimu za
kutosha kwa ajili ya wanamichezo,kukosekana kwa gari la wagonjwa inayoweza
kukidhi mahitaji ya wana michezo hivyo kuhataraisha maisha ya wanariadha na
kutopimwa vema kwa njia ya mbio hizo.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.